Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alijikuta mwamba 😃Mwamba mizinguo sana, alitaka kupambana na monster na Mjiti.
Sara Katili sana, amelitumbua jicho la elginSara the mvp of the episode 10,
Kajua kufunga series vizuri kila mtu amempenda 😂😂😂
Inakubali kaka 😃😃Vincenzo Jr mbona jina lako linagoma kutag
Na alikula shingo ya kaka yake season 1Sara Katili sana, amelitumbua jicho la elgin
😃😃😃Mpaka sasa sijaangalia s3 e10 natembelea simulizi za @vicenzo jr na Greatest Of All Time
Unafanyaje ili kumention mbona hapo nimebahatisha tuInakubali kaka 😃😃
Kwanini mkuu?Mpaka sasa sijaangalia s3 e10 natembelea simulizi za @vicenzo jr na Greatest Of All Time
Tabitha alishaanza kuwa attach na jade kila sehemu wapo, akikumbuka na kabla ya kuja hapo tabitha alishesema anataka talaka jamaaKosa lake pia ni kuambiwa ukweli kuhusu REINCARNATION iliyokuwa inafanyika mule.
Mara tu baada ya Thabitha kumueleza kuhusu reincarnation yake yaani miranda kurudi kama thabitha etc, ndio hapo shida ikaanza...... AKALIWA KICHWA
Kuchimba shimo ni SYMBOLISM inayomaanisha KUCHIMBUA UKWELI.
kichwa kilikuwa kimejaa mawazo huenda jade akamchukulia mke, akiwaza na tabitha alishawahi kuomba talaka. Akaona mke anaenda mdogo mdogo nikiwa naonaAlijikuta mwamba 😃
Ukimcheki sura nzuri, sauti mashallah ila ukiambiwa alitaka kukaua kale katoto ka Ethan utashangaaSara Katili sana, amelitumbua jicho la elgin
Boyd kutoka kule kwenye basement haitakua rahisi.Mimi namuwazia Boyd ataweza kutoka kweli kule bila kushtukiwa? wasije wakamhold, pia nakumbuka Victor alisema many people will die kama ilivyotokea kipindi yupo mdogo na akasisitiza kuna kitu hakipo sawa, sasa Jade na Tabitha kama wameenda kuibua hao watembea mchana kazi ipo, vipo vitakua vingi sana
Ni ya Kihispania? Au Mexico?
Ni HollywoodNi ya Kihispania? Au Mexico?
Boyd akipiga kengereNini kitatokea!?tukutane 2026 ndani ya FROMVILLE🔥🔥
Hii wanaongea English ni ya kizungu yani united states of America 😁Ni ya Kihispania? Au Mexico?
Sawa sasa huku kwenye mjadala wetu umefata Nini au ndio kuja kutukwaza tu 😃😃Iko overrated hamna kitu