Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Unanivuluga sasa mkuu, dogo anaeipiga outfit nyeupe si yule alikua alikua mshkaji wake victor utotoni na anaepigaga simu ni thomas ambae ni mtoto wa tabitha na jim aliekufa kipindi akiwa bado mchanga kabisa?Vox Smith as Boy in White Itakuwa huyu ndio anawajua hao maana amekuwa akiwasema Sana kipindi akipiga simu pale fromvile
Mimi nahisi tabitha atakua mama ake victor amekuja kivingine. Maana baba ake victor kipindi anampa story kujusu mkewe kule nyumbani kwake mambo aliyokua anayaongea yule mzee yalikua yanamjia akilini tabitha mfano ile culture aliyosema alipewa na mkewe kipindi wapo kwenye gari, tabitha nae akakumbuka culture iyo iyo alimpa mumewe jim. Huyu tabitha lazima atakua na muunganiko fulani wa kiroho na hii familia ya wakina victor.Tabitha sio dada yake Victor, Tabitha na Victor wamepishana for 15 years, pia tumeoneshwa Tabitha mdogo na dada yake Victor mdogo, hawafanani, kwa hiyo theory ya hao jamaa ni ndugu haipo tena
Uko sahihi kabisa na hii ndio theory watu wengi wanaishi nayo sasa hivi, wanaita reincarnation (the rebirth of a soul in another body) wanaamini Thabitha ni mama ake Victor amekuja kwenye mwili mwingine lakini pia tukumbuke hata mke wa Boyd alishaiona hiyo fromville kabla hajafika kama ilivyo kwa mama ake Victor na sasa Tabitha,Mimi nahisi tabitha atakua mama ake victor amekuja kivingine. Maana baba ake victor kipindi anampa story kujusu mkewe kule nyumbani kwake mambo aliyokua anayaongea yule mzee yalikua yanamjia akilini tabitha mfano ile culture aliyosema alipewa na mkewe kipindi wapo kwenye gari, tabitha nae akakumbuka culture iyo iyo alimpa mumewe jim. Huyu tabitha lazima atakua na muunganiko fulani wa kiroho na hii familia ya wakina victor.
Sijui nani atakuja na muafaka wa kutoka pale fromville. Huku victor ana harakati zake, tabitha nae ivyo ivyo, boyd anaonekana ana kitu, jade nae anaangaika na equations zake, yule bonge black anatokewa na mzimu wa bibi unamtaka amsaidie ili nae amuonyeshe njia ya kwenda nyumbani, baba ake victor kuna sehemu aliuliza motel iko wapi it seems nae ashaawahi kuuona ule mje kabla hajafika. Yaani vulugu mechi 😀😀😀😀Uko sahihi kabisa na hii ndio theory watu wengi wanaishi nayo sasa hivi, wanaita reincarnation (the rebirth of a soul in another body) wanaamini Thabitha ni mama ake Victor amekuja kwenye mwili mwingine lakini pia tukumbuke hata mke wa Boyd alishaiona hiyo fromville kabla hajafika kama ilivyo kwa mama ake Victor na sasa Tabitha,
Haya ngoja tuone itakavyokua.
Sema jade nae ni chizi skuizi 😃😀Sijui nani atakuja na muafaka wa kutoka pale fromville. Huku victor ana harakati zake, tabitha nae ivyo ivyo, boyd anaonekana ana kitu, jade nae anaangaika na equations zake, yule bonge black anatokewa na mzimu wa bibi unamtaka amsaidie ili nae amuonyeshe njia ya kwenda nyumbani, baba ake victor kuna sehemu aliuliza motel iko wapi it seems nae ashaawahi kuuona ule mje kabla hajafika. Yaani vulugu mechi 😀😀😀😀
Najaribu kuweka sawa kama director 😃😀😀Unanivuluga sasa mkuu, dogo anaeipiga outfit nyeupe si yule alikua alikua mshkaji wake victor utotoni na anaepigaga simu ni thomas ambae ni mtoto wa tabitha na jim aliekufa kipindi akiwa bado mchanga kabisa?
Victor uyo ndo legendary wa kile kijiji,Yule mshkaji kama jokeli miyeyusho yupo tu bado?
Naunga mkono hojaVictor uyo ndo legendary wa kile kijiji,
Pale asingeweza kumsaidia sababu Boyd monsters walimuweka ntu katiNapendaga vitu vya kufikirika,ila sielewi kwanini mamake mchina alitafunwa huku bodly akitakiwa kuona.na kwanini mawasiliano hamna.
Miyeyusho sana yule na michoro yake ileVictor uyo ndo legendary wa kile kijiji,
Tunadowload vp hii mkuu?Tupo episode ya 8
From.S03E07.WEB.x264-TORRENTGALAXY (download torrent) - TPB
Download From.S03E07.WEB.x264-TORRENTGALAXY torrent or any other torrent from the Video TV shows. Direct download via magnet link.thepiratebay.party
Mkuu download kwanza torrent afu gusa hiyo linkTunadowload vp hii mkuu?
Halaf amekutwa hana mimbaNa Kuna yule dada ambaye kwa Sasa Anakula vitu vya kuoza oza na Sasa naona analamba damu kupitia tundu la risasi la yule marehemu aliepigwa risasi na yule askari , sijui ana shida gani
Ni balaa sana paleHalaf amekutwa hana mimba
Nahisi hawawezi kumuua boydBoyd, kwangu mimi huyo ndiye main, na kinachotokea kwa sasa wale viumbe wanamkomoa tu, na ndio maana kuna muda yeye mwenyewe haelewi