Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #181
Kwanini hauwezi kuangalia ๐๐That's why nilikuuliza mapema kama ni horror na asante nimeielewa sasa.
Siwezi kuiangalia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini hauwezi kuangalia ๐๐That's why nilikuuliza mapema kama ni horror na asante nimeielewa sasa.
Siwezi kuiangalia.
Aaaahh mimi na mambo ya kutisha tisha yananinyima amani ya moyo kabisa๐Kwanini hauwezi kuangalia ๐๐
Embu nihadithie hii ya thaba basi ๐๐Mi napenda walivyo mnanipulator
Acha tu wana smile huku wanakufata taratiiiibu hawana haraka kabisa, haijajulikana walitokea wapi hata na wenyewe bado wana struggle kujua ilikuaje, kuhusu ni wale watu waliokufa sio kweli hao wapo hapo hapoNapenda wanavyosmile ๐๐๐ hivi walitokea wapi ni walikufa katika huo mji eti mbona wanaokufa hawa wapya hawaji
Naunga mkono hoja hapo patamu ๐Hii ya 7 inafikirisha sana kile kibibi tulidhani na chenyewe ki monster matokeo yake Fatima kamuua lakini kamwambia 'Run' sasa sijui akimbilie wapi na kwanini, namsikitikia Fatima atakuja kuend up kama Sara ๐ญ, sasa huyu Elgin kuingia mule peke yake ๐ kinachokera ni vile ambavyo hawapendi kufanya kazi pamoja, kila mmoja yupo busy kutafuta answers peke yake, Victor na mdoli wake๐ nahisi Gasper anaweza akaelewana na Jade
Series kila character kachanganyikiwaa ๐ ๐ ๐ yani hakuna anaemuelewa mwenzake kabisa..! Njia ya kutoka ni ile ambayo yule dada yake Ethan alitaka kuvuka na yule jamaa mkorofi lakini wakasitaa aisee wangevuka tu ile miamba.Hii ya 7 inafikirisha sana kile kibibi tulidhani na chenyewe ki monster matokeo yake Fatima kamuua lakini kamwambia 'Run' sasa sijui akimbilie wapi na kwanini, namsikitikia Fatima atakuja kuend up kama Sara ๐ญ, sasa huyu Elgin kuingia mule peke yake ๐ kinachokera ni vile ambavyo hawapendi kufanya kazi pamoja, kila mmoja yupo busy kutafuta answers peke yake, Victor na mdoli wake๐ nahisi Gasper anaweza akaelewana na Jade
Ahaaa yea wanajua sana kulaghaiAcha tu wana smile huku wanakufata taratiiiibu hawana haraka kabisa, haijajulikana walitokea wapi hata na wenyewe bado wana struggle kujua ilikuaje, kuhusu ni wale watu waliokufa sio kweli hao wapo hapo hapo
Nahisi EP ijayo Itakuwa tamu sanaSeries kila character kachanganyikiwaa ๐ ๐ ๐ yani hakuna anaemuelewa mwenzake kabisa..! Njia ya kutoka ni ile ambayo yule dada yake Ethan alitaka kuvuka na yule jamaa mkorofi lakini wakasitaa aisee wangevuka tu ile miamba.
๐๐๐๐ Que sera sera,,, whatever will be will be...the future is not ours to see.. que sera sera.. yaan mwanangu anapenda sana hii opening song ๐๐๐๐Hii ya 7 inafikirisha sana kile kibibi tulidhani na chenyewe ki monster matokeo yake Fatima kamuua lakini kamwambia 'Run' sasa sijui akimbilie wapi na kwanini, namsikitikia Fatima atakuja kuend up kama Sara ๐ญ, sasa huyu Elgin kuingia mule peke yake ๐ kinachokera ni vile ambavyo hawapendi kufanya kazi pamoja, kila mmoja yupo busy kutafuta answers peke yake, Victor na mdoli wake๐ nahisi Gasper anaweza akaelewana na Jade
Huwezi amini huo wimbo nauogopa hua naupeleka mbele, sitaki hata niukariri kichwani ๐ฅบ๐๐๐๐๐ Que sera sera,,, whatever will be will be...the future is not ours to see.. que sera sera.. yaan mwanangu anapenda sana hii opening song ๐๐๐๐
Mmh Fromville sio ya kuiamini kihivyo, tangu yule jamaa aingie kwenye ule mti wa maajabu na kudondokea kwenye swimming pool, bora Randall alivyomkataza Jullie huenda lingemkuta jamboSeries kila character kachanganyikiwaa ๐ ๐ ๐ yani hakuna anaemuelewa mwenzake kabisa..! Njia ya kutoka ni ile ambayo yule dada yake Ethan alitaka kuvuka na yule jamaa mkorofi lakini wakasitaa aisee wangevuka tu ile miamba.
Naunga mkono hoja ๐๐๐๐Hapo ndo tuone tofauti kati ya director wetu wa kibongo na wenzetum yaan script zinaandikwa Kwa akili sana kias kwamba unapata ham ya kutaka kujua what next. Huku kwetu uliangalia tu episode Moja unaweza kutabiri movie inaisha vp ๐๐๐
Hii episode ni balaaaa,Tupo episode ya 8
From.S03E08.720p.WEB.x265-MiNX[TGx] (download torrent) - TPB
Download From.S03E08.720p.WEB.x265-MiNX[TGx] torrent or any other torrent from the Video HD - TV shows. Direct download via magnet link.thepiratebay0.org
Chunga huyo mtoto๐๐๐๐๐ Que sera sera,,, whatever will be will be...the future is not ours to see.. que sera sera.. yaan mwanangu anapenda sana hii opening song ๐๐๐๐
EP 9 Itakuwa kalii sana wiki inayofuata ila bado inanipa mawazo ngoja tuone yule Elgin atamfanyaje fatima kule alimpo mpeleke naona yule kimono anataka damu je Fatima atazaa jini na vipi kuhusu Julie yule dogo kumbe yeye ndio alimrushia kamba Boyd kule alipo zama je alifika vipi hapo wanaendelea kutuchanganyaHii episode ni balaaaa,
Ila wakianza mambo ya time travel wataniacha njiani,
Nimependa Jade alivyomshushua Jimmy kuhusu mke wake hajakaa sawa na baba ake Victor na yeye akampa kubwa, mwenyewe kavuta kiti kakaaa๐คฃ๐คฃ๐คฃ