From series msimu wa 3 umetoka

From series msimu wa 3 umetoka

Mkuu Greatest Of All Time vikita ndio dada yake Tabitha 😃😀😀😀
Sio dada yake ni mama yao, niliandika huko juu kuna theory inatembea ya reincarnation (mtu aliyekufa anazaliwa tena kwenye mwili wa mtu mwingine),
Kwa hiyo Tabitha ni mama ake na Victor ndio maana pale akakumbuka alivyowakumbatia watoto wake na kuelekea kwenye mti yule smiley akamla,
Ina make sense na baba yake Victor alivyokua anamuongelea mke wake
 
Duh director anazidi kutuchanganya pale naona hata Randall atakuwa ndio yule mzee kule kwenye pango 😃😀😀
 
Sio dada yake ni mama yao, niliandika huko juu kuna theory inatembea ya reincarnation (mtu aliyekufa anazaliwa tena kwenye mwili wa mtu mwingine),
Kwa hiyo Tabitha ni mama ake na Victor ndio maana pale akakumbuka alivyowakumbatia watoto wake na kuelekea kwenye mti yule smiley akamla,
Ina make sense na baba yake Victor alivyokua anamuongelea mke wake
Naunga mkono hoja 😀😃
 
Najiuliza ilikuwaje Tabitha amemkuta victor kwenye ile chamber, na je victor alikuwa pale kwa muda gani kiasi cha kutosikia kishindo cha fatma ndani akikwangua ile ardhi... So Tabitha+Victor+kumbukumbu zao = solution
 
Hapa alikuwa anasemaje!? Mwenyekiti wa kitongoji
1732068793203.jpg
 
Back
Top Bottom