Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Director kapotea njia😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatuletea mambo ya hallucinations na multiverseDirector kapotea njia😅😅
Na boyd hakujiuliza kabisa..yule mzee kafungwa chain mikononi aliwezaje kumrushia kambaEP 9 Itakuwa kalii sana wiki inayofuata ila bado inanipa mawazo ngoja tuone yule Elgin atamfanyaje fatima kule alimpo mpeleke naona yule kimono anataka damu je Fatima atazaa jini na vipi kuhusu Jude yule dogo kumbe yeye ndio alimrushia kamba Boyd kule alipo zama je alifika vipi hapo wanaendelea kutuchanganya
Ni balaa mkuu mpaka sasa najiuliza yule Julie alifikaje kule na wakati yeye mwenyewe alikuwa kafungwa kule chiniNa boyd hakujiuliza kabisa..yule mzee kafungwa chain mikononi aliwezaje kumrushia kamba
Hiii series kalii sana 🔥
Mm cjaelewa Ile scene ya kamba ni past , present au future au wanacheza na jukwaa😅😅Anatuletea mambo ya hallucinations na multiverse
😃😀😀😀😃 Ngoja tuone jumapili ijayoMm cjaelewa Ile scene ya kamba ni past , present au future au wanacheza na jukwaa😅😅
Sijaiona hii ina worth watching?Nafkr idea ya from na movie ya coma,series ya 1899,movie ya inception somehow zinafanana, matukio yote yanayotokea kwenye huo mji sio halisi.
Nilitaka kuangalia na LOST kumbe mwisho wa siku majibu hamna?MGM hawajaanza leo Tangu LOST wanavuta mpaka season six alafu mwisho mtaachwa bila majibu ,Bad Ending
From hii upuuzi.
😀😃😃😃😀😀😀😀Naona mwenyekiti wa kitongoji usichotoka anampenda sana mke wa kijana wake, alipomchoma mkasi yule bibi pale kwenye garden ya maua fasta akampeleka msituni kwenye kibanda🤣na chakula juu
Hii ipo kama fringe tu 😃😀😀S
Sijaiona hii ina worth watching?
Mana kama mwisho wa siku inakua ni mtu alikua ana hallucinate huwa inanikwaza