From series msimu wa 3 umetoka

From series msimu wa 3 umetoka

EP 9 Itakuwa kalii sana wiki inayofuata ila bado inanipa mawazo ngoja tuone yule Elgin atamfanyaje fatima kule alimpo mpeleke naona yule kimono anataka damu je Fatima atazaa jini na vipi kuhusu Jude yule dogo kumbe yeye ndio alimrushia kamba Boyd kule alipo zama je alifika vipi hapo wanaendelea kutuchanganya
Na boyd hakujiuliza kabisa..yule mzee kafungwa chain mikononi aliwezaje kumrushia kamba
 
20241112_112825.jpg
wazee wa time travel huyu sio Randall kweli alimjuaje Julie au boyd pale season 2 kwenye hiki kipande
20241112_112822.jpg
 
Naona mwenyekiti wa kitongoji usichotoka anampenda sana mke wa kijana wake, alipomchoma mkasi yule bibi pale kwenye garden ya maua fasta akampeleka msituni kwenye kibanda🤣na chakula juu
😀😃😃😃😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom