From series msimu wa 3 umetoka

From series msimu wa 3 umetoka

Tunadowload vp hii mkuu?
Au tumia app ya onstream mkuu downloader yake ipo playstore inaitwa splayer link yake hii hapa hiyo app
Screenshot_20241104-131811.jpg
Screenshot_20241104-131756.jpg
 
Guys, nimeona behind the scene wanavyowatengeneza wala creatures, niseme tu wakiwa kwenye demon form wala hawatishi kama wakiwa kwenye human form, imagine mtu anakufata kwa mwendo wa taratibu na tabasamu mwanana whooo! so scary
Napenda wanavyosmile 😂😂😂 hivi walitokea wapi ni walikufa katika huo mji eti mbona wanaokufa hawa wapya hawaji
 
Hivi nani anakifaham kile kibibi kinachomfata fata Fatima na yule kijana bonge black asiyelala? jina lake nimelisahau ila kuna possibility ni one of those creatures amekuja kuishi among them halafu anawa manipulate their minds, ngoja tuona ila sikiamini kabisa
Huyo kija anaitwa Elgin
 
Back
Top Bottom