Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #101
Alimpiga mkwara yule mume wa Tabitha mwamba akamwambia huyo sio mwanaoNdio huyo dogo, siku hizi haonekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alimpiga mkwara yule mume wa Tabitha mwamba akamwambia huyo sio mwanaoNdio huyo dogo, siku hizi haonekani
Familia ya Tabitha ilikuwa na watoto wa tatu na watatu ndio huyo thomas😃😄😀😀😀😃😄Kuna yule tomas sijui ndio nani au ndio yule dogo anae vaa nguo nyeupe juu na chini
Naunga mkono hoja 🤣 😁Ni vile tu Victor alichanganyikiwa kutokana na matukio aliyaona akiwa bado mtoto sana, ila kuna vitu akiviweka sawa wanapata muafaka, shida tu anafanya mambo mengi kivyake vyake
Duh aisee pale kazi ipoFamilia ya Tabitha ilikuwa na watoto wa tatu na watatu ndio huyo thomas
Imagine alipiga simu na akatoa taarifa kwamba Tabitha anakuja kwenye ambulance... Na ikawa kweli... Ushajiuliza akipiga tena simu kwa mara nyingine ataleta taarifa ganiDuh aisee pale kazi ipo
Anakera balaa😅😅kuna yule big kaenda kweny From kulala tu
Jamaa kama wamemuondoa akili, mwanzo alikua anaongea vitu vya maana, wakaona isiwe tabu😅😅kuna yule big kaenda kweny From kulala tu
Na nadhani wengi walianza kuifuatilia baada ya kutrend kwa smile ya yule monsterBoyd alituondolea Mr Smile tunamchukia kwa Hilo😅😅😅
Anakosha Sana Director afanye amrudishe tu maan celebrities tupo wengi 😅😅Waliniudhi walivyomuua yule monster wa kusmile nilikua nampenda sana, nakumbuka aliwaambia wale wazee "you picked a bad spot" halafu akawala daah😄
Anaweza akarudi kweli, kwasababu mwili wake ulipotea katika mazingira ya kutatanisha kama sikoseiAnakosha Sana Director afanye amrudishe tu maan celebrities tupo wengi 😅😅
Haha😅😅 aah yule akiwepo watoe hata season 100 Mimi nitaziangalia aisee..Anaweza akarudi kweli, kwasababu mwili wake ulipotea katika mazingira ya kutatanisha kama sikosei
Wanataka tu wamkomeshe bobyNaam Kabisa Mkuu tunasubiria EP ya 5 jumapili hii tumeishia huyu jamaa kadakwa ila wale monster hawajamuua naona wanaanza kugombanisha watu View attachment 3126439
Boby na thabitaSeries ikiisha na kuacha maswali inakua yakipuuzi sana ,anaemjua Main character wa From mpka sasa atuambie😅😅
Jamaa mbishi sana huyu afu huu mti bila victa haufanyi kaziKilichompata
View attachment 3133027
Ni hallucinations zile tuAnaejua kwann mzimu wa Father khatri bado upo mule kanisani na unamsumbua Boyd au ni mchezo wa monsters kumchannganya jamaa!!