Mkuu
Makanyaga, ni kweli astronomy sio astrology, lakini kwenye bandiko langu nimekwambia chimbuko la astronomy ni astrology, hiyo ndio elimu ya kwanza na kwa wana falsafa na magreat thinkers wa dhama hizo ilikuwaninlazima wajue elimu ya astrology na elimu zingine kama ziada
Astronomers walikuja kufanyia scientific research na practical za astrologer, mfano mdogo tu, by that time wajerumani wanakuja Tanganyika kulikuwa hakuna coordinates systems na ilikuwa ni vigumu kwao kupata exactly locations za maeneo yenye interest zao,
ili kupata exactly location,
Wajerumani walikuja na line coordinates kutoka ujerumani mpaka Tanganyika, na
walikuwa wanaongozwa na Nyota tu, can you imagine nyota waliyoionaujerumani ndio ilikuwa reference yao mpaka Tanganyika, na hiyo haikuwa safari ya siku moja na haikuwa kwenye straight line.
Zile coordinates za Mjerumani zina errors ndogo sana kulinganisha na hizi za GPS ambazo ni too modern and ziko accurate kwa kiasi kikubwa