From the archives of the KGB

From the archives of the KGB

Hiyo ni astrology, siyo astronomy. Astronomers wanasafiri na vyombo vya kitaalamu kwenda kufanya utafiti wa kisayansi anga za juu. Astrologers ni arm chair thinkers ambao wanakaa mezani na kuanza kuchambua anga kwa kutumia elimu ya nyota

Astrology ndio mama wa astronomy in fact astrology ndio elimu kongwe kuliko elimu au maarifa yoyote ya binadamu.
 
Hiyo ni astrology, siyo astronomy. Astronomers wanasafiri na vyombo vya kitaalamu kwenda kufanya utafiti wa kisayansi anga za juu. Astrologers ni arm chair thinkers ambao wanakaa mezani na kuanza kuchambua anga kwa kutumia elimu ya nyota

Mkuu Makanyaga, ni kweli astronomy sio astrology, lakini kwenye bandiko langu nimekwambia chimbuko la astronomy ni astrology, hiyo ndio elimu ya kwanza na kwa wana falsafa na magreat thinkers wa dhama hizo ilikuwaninlazima wajue elimu ya astrology na elimu zingine kama ziada
Astronomers walikuja kufanyia scientific research na practical za astrologer, mfano mdogo tu, by that time wajerumani wanakuja Tanganyika kulikuwa hakuna coordinates systems na ilikuwa ni vigumu kwao kupata exactly locations za maeneo yenye interest zao,
ili kupata exactly location, Wajerumani walikuja na line coordinates kutoka ujerumani mpaka Tanganyika, na walikuwa wanaongozwa na Nyota tu, can you imagine nyota waliyoionaujerumani ndio ilikuwa reference yao mpaka Tanganyika, na hiyo haikuwa safari ya siku moja na haikuwa kwenye straight line.
Zile coordinates za Mjerumani zina errors ndogo sana kulinganisha na hizi za GPS ambazo ni too modern and ziko accurate kwa kiasi kikubwa
 
Last edited by a moderator:
Mungu hayuko juu kwa maana ya height, THE MOST HIGH IS OMNIPRESENT. Neno the "most high", halimaanishi juu inayoashiria sehemu isipokuwa juu kwa maana ya state- hali fulani . Kwa mfano, you become high in spirits perhaps when you are drunk or excited in some ways. Hii haimaanishi kuwa katika hali hiyo huwa unatoka chini unapaa juu!

Mkuu@Makanyaga,
Sio mimi naesema kuwa Mungu yuko juu bali vitabu vya dini ndio vinasea hivyo, Yesu alipokuwa anaondoka akutoweka tu bali walimuona anapaa kwenda juu, Eliya alipokuwa naondoka na gari lake alikuwa anapaa kwenda juu, imeandikwa Yesu akiwa anashuka kutoka mawinguni kila jicho litakuona

hiyo yakusema ni juu inamaanisha ni OMNIpRESENT ni explaination za baadhi ya madhehebu hasa yale yenye kuhubiri kujitambua binafsi, kama Budha, Rastafarian nk, lakini kwa Wakristo na Waislamu haina maana hiyo, juu ni juu mkuu
 
Tanzania haina uwezo wa kuwanusa na kuwaona hawa viumbe, hakunaa !
Tutasubiri sanaaa mpaka Tanganyika ipate Uhuru wa miaka 150....
 
Mkuu Makanyaga, ni kweli astronomy sio astrology, lakini kwenye bandiko langu nimekwambia chimbuko la astronomy ni astrology, hiyo ndio elimu ya kwanza na kwa wana falsafa na magreat thinkers wa dhama hizo ilikuwaninlazima wajue elimu ya astrology na elimu zingine kama ziada
Astronomers walikuja kufanyia scientific research na practical za astrologer, mfano mdogo tu, by that time wajerumani wanakuja Tanganyika kulikuwa hakuna coordinates systems na ilikuwa ni vigumu kwao kupata exactly locations za maeneo yenye interest zao,
ili kupata exactly location, Wajerumani walikuja na line coordinates kutoka ujerumani mpaka Tanganyika, na walikuwa wanaongozwa na Nyota tu, can you imagine nyota waliyoionaujerumani ndio ilikuwa reference yao mpaka Tanganyika, na hiyo haikuwa safari ya siku moja na haikuwa kwenye straight line.
Zile coordinates za Mjerumani zina errors ndogo sana kulinganisha na hizi za GPS ambazo ni too modern and ziko accurate kwa kiasi kikubwa

Mkuu Kituko,
Usitake kuchanganya mambo ambayo yako bayana. Hiyo waliyofanya wajerumani ni astronomy at its crudest level au tunaweza kuiita ancient astronomy, siyo astrology.

Astrology ni utabiri kwa kutumia nyota
wakati astronomy ni elimu ya anga ambayo haitumii utabiri wa nyota .

Sasa unataka kuniambia hao wajerumani walikuwa wanafanya utabiri halafu kwa kufanya hivyo wanajua uelekeo? In any case, ANCIENT ASTRONOMY can not in any way be equated to ASTROLOGY. USICHANGANYE MAMBO HAPA!
 
aaah haya mambo yananikumbusha series moja ya history channel inaitwa ANCIENT ALIENS.......hawa jamaa wapo tangu kitambo sana.i wonder if tz tuna special committee kudeal na hawa superior cousins wetu
committee tulizonazo ni zile za watu wasiojulikana ambao kazi yao ni kuteka, kudhuru na hata kuuwa vijana wanaomkosoa magufuli.
 
aaah haya mambo yananikumbusha series moja ya history channel inaitwa ANCIENT ALIENS.......hawa jamaa wapo tangu kitambo sana.i wonder if tz tuna special committee kudeal na hawa superior cousins wetu
hatuna bajeti hiyo
 
Mkuu Astronomy ilianzia na watu kama wakina Sheikh Yahaya, lakini scientist walikuja kuiadvance tu,(hebu google tribe moja iko Mali inaitwa Dogon?- au google Dogon and Sirius)
haya mambo mara nyingi yanaingia na kuwagusa sana Mitume na Malaika, watu wengi wanaoamini mambo ya Alliens or ET, wanaamini kuwa mitume almost wote na Malaika walikuwa ni Alliens, walikuwa ni wageni waliokuja hapa duniani kwa misheni maalumu, na walipokuwa wanakuja waliwafundisha watu waliowakuta hapa duniani teknolojia mbalimbali ikiwepo hilo la Astronomy

Kwa imani za kidini Mungu anajulikana kuwa yupo kokote, lakini kwa nini waumini wanajisahau na kuwa na itikadi kuwa Mungu anapatikana juu (sijuhi wapi?-uwinguni?), lakini ukifatilia kwa ukaribu utaona wale Alliens waliokuwa wanashuka duniani walikuwa wanashuka kutokea juu na walikuwa wanapanda kwenda juu na vyombo vyao na walionekana ni kama Miungu/Mitume/Malaika nk

Mifano halisi ipo Kwenye Biblia na Koran kuhusu hawa watu, Eliya alipokuwa anaondoka baada ya kumaliza kazi yake duniani, aliondoka na Chombo maalumu kwenda huko mbinguni?, kimeandikwa ni kama chombo cha kawaida kilichokuwa kinatumika wakati huo, lakini mechanism ya movement ya hiki chombo (Cha Eliya) kilikuwa ni tofauti sana na kile kilichozoeleka. Je hicho Chombo kilikuwa ni UFO?
Niliwai kusoma mahali wataalam wanasema musa aliondoka na space shuttle aliens waliisha gundua hizi technology kitambo sana walikua wanakuja duniani kufuata raw material miaka iyo nazani zile Makala zilikua kwenye gazeti la majira kati ya mwaka 2011 au 2012 au 2013 jamaa alikua anaandika vizuri sana
 
Back
Top Bottom