GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Leo hii GENTAMYCINE nimekutana na Mmoja wa Watu kutoka TANESCO na waliokuwa katika Team Maalum ya kwenda Kugagua Mabwawa yote ya Mtera, Kidatu na Kihansi ambao wamerejea Dar es Salaam Siku ya Juzi ( Alhamisi )
Alichoniambia Mtendaji huyo Mwandamizi kutoka TANESCO ni kwamba pamoja na Mvua Kunyesha sana nchini Tanzania hadi zingine kuleta Mafuriko, Majanga na Uharibifu ila ukweli ni kwamba zote hazijaweza hata kujaza angalau kwa 50% tu Mabwawa hayo tajwa.
Alichomalizia kunielezea Mtendaji huyo Mwandamizi wa TANESCO ni kwamba kutokana na hali ya Mabwawa hayo kuwa mbaya sana na kupelekea nchi nzima kuwa katika Mgawo wa Umeme wa Kikatili ni kwamba muda wowote kuanzia sasa Viwanda vingi vitafunga Uzalishaji wa Bidhaa hali ambayo itapelekea kuharibu Uchumi wetu na hata Kuathiri pia Ajira mbalimbali za Wafanyakazi huko Viwandani.