LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Salha ( 19) is one of my girlfriends. She was born in 2005. Her mother was born in 1988. I am 3 years older than my mother in law.
Nampenda Salha kwa sababu ana nyota Kali sana ya hela. Kwa mnao shangaa how comes Likud ninakuwa na mademu wengi hivyo? The answer is here 👇👇👇
Nina mademu wengi kwa sababu zile zile zilizo mfanya Mfalme Suleiman kuwa na mademu wengi.
Anyways to cut the story short. Miezi miwili baada ya kuingia katika mahusiano na Salha siku moja akaniambia tuonane ana maongezi na Mimi.
Siku zote demu akikuambiag hivi point huwaga ni zilezile:
1. Lack of finance
2. Poor infrastructure
3. Poor government etc.
Salha kaja na mama ake
mama ake akaniambia anaomba nimuazime laki 5 ana watoto wawili wamefukuzwa ada English Medium. Uongozi wamemwambia alipe walau laki 5 wawapokee watoto and then baada ya mwezi amalizie milioni iliyobaki( Alikuwa na deni la nyuma pia)
Nikmuonyesha nyuzi za Likud.(nyuzi zangu) Nika mbadilisha mindset yake kuhusu shule za EMs na faida ambazo atazipata kuhusu watoto wake kurudi Kayumba.
Salha alielewa ila mama mtu hakuelewa. Aliona kama vile namsimanga like kwanini usomeshe Kayumba wakati huna uwezo.
Nikamwabia hata Mimi watoto wangu wawili wanasoma Kayumba . Ni mmoja tu wa kike ambae kamaliza form 4 mwaka huu ambae yeye ndio alisoma Ems kuanzia chekechea hadi la saba.
Mama mkwe akakubali kishingo upande . Later on kwenye simu Salha akaniambia "mama haamini kama Mimi nasomesha wanangu Kayumba coz i don't have that look"
Fast forward
Mwanadada Naynay wa House Of Fashion Tandika alipost kwenye ukurasa wake wa Instagram and Facebook kuhusu kijana wake wa kiume aliekuwa anasoma shule ya sekondari Temeke Wailes ambayo kamaliza mwaka jana kwa kupata A zote na kuchaguliwa Azania Secondary.
Ilivyo fika kwa mama mkwe.
Mama mkwe ana rafiki yake. Rafiki yake ni classmate/Madrassa mate wa Naylah.
Rafiki huyo nae pia alikuwa ana struggle kusomesha wanawe shule za EMs.
Sasa baada ya Naylah kupost habari ya mtoto wake ambayo aliwahasa wazazi wenye vipato vya kawaida wasi jistress kulipa mamilioni shule za EMs na badala yake wawasomeshe Kayumba kwa uangalizi wa karibu.
Akatoa mfano wake na mtoto ambae kasoma Kayumba na kupata A zote.
Rafiki wa mama mkwe akawa impressed, akamtumia hiyo post mama mkwe kwa kumwambia alifanya uamuzi mzuri kumuhamisha mwanae shule ya Kayumba kwa sababu mtoto ana faulu na hakuna stress...
Salha kaniambia jinsi mama ake alivyo furahi na anavyo nishukuru kwa ushauri wangu kwa sababu nimesaida kumuondolea stress zisizo kuwa za lazima.
Ame kuwa very inspired na matokeo ya kijana wa Naylah Tandika House Of Fashion
....................
Usingoje kesho. Kimbia haraka sana nenda Kamtoe mtoto wako kwenye shule ya EM umrudish Kayumba.
Thank me later.