(FSB) Usalama wa taifa Urusi waanza kamata kamata ya makundi ya kiislamu

CIA ni watu hatare sana

walitaka kumchonganisha Putin na sasa kachonganishika
 
Acheni visingizio magaidi wanaweza kumlipua yeyote kwa jina la allah kwao hiyo ni ibada kabisa.
 
Leo hii Uingereza wanakipata pata, waliwapa uhuru, hatimaye wameanza kunyanyua makalio barabarani, tena wanaziba barabara yote...

Je, huu ni mgomo?
Unahusu nini?

Wachina na warusi ndo wanawaweza magaidi maana msamiati wa haki za binadamu hakuna huko. Wakileta ujuaji wananyongwa chap
 
acha chuki kwan hitler alikuwa muislam pind anauwa wa islael au pind mkolon anafanya watumwa watu wa africa alikua muislam akifanya jambo m2 m1 aubkikund acha kulifanya in general kwan waislam wangap hap tanzania wanaajil wa kristo km bahresa moo dewij azania gsm oilcom camel oil manji na wengine weng tu
 
Warudi kwao Kazakhstan, mapumbavu hayo hayastaarabikagi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…