Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #141
Liverpool wanavuta pumzi ya moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Liverpool itabidi waache utoto
Luis Diaz anaenda njeJota anaingia
Jamaa ni kisiki kweli kweli
England kik nyingi tu hamna kitu washalizwa hapo kombe hispainMkiambiwa England hakuna mpira mnakaza ila huo ndio ukweli, kwa miaka mingi sana team za England zimekuwa zikishindwa kufurukuta mbele ya team za sspain.
TEAM ZOTE ZA ENGLAND zimeonyesha udhaifu mkubwa sana mbele ya team za spain mpaka sasa japo mpira bado unaendelea na hatujui matokeo yatakuwaje mwishoni, Chelsea, Man City na sasa Liverpool zote zinafurukuta mbele ya team inayoaminiwa kuwa mbovu😄
Hii madrid ilionekana mbovu sana mbele za macho ya watu wengi ikilinganishwa na akina PSG, MAN CITY na LIVERPOOL ambao wengi waliziona kama tishio, ila oneni kinachofanywa uwanjani.
NB: LIVERPOOL ikiacha show game inaweza kupindua meza na kushinda.