FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

Hemed moroko, Jamuhuri kihwelo, Juma Mgunda, Amri Kiemba na wote niliowatambua Leo, unganisha uwezo wao wote wameshindwa kuifunga under dog Ethiopia wakiwa nyumbani.

Afcon zote 2 za karibuni tumevushwa na foreign couches.

Kuwapa majukumu hawa ni kuturudidha kulekule kwa akina mziray, kayuni, kinanda, nk

Ni makosa kuteua hawa wazawa simply kwasababu senegal Ghana cameroun wameteua wazawa..

Profile ya kocha aliyecheza professional football duniani haiwezi kuwa kwny mizani sawa na kocha mzawa wa kienyeji...hawa akina Julio wabaki kuwa wakarimani tuu inatosha..usiku mwema
Umeongea kwa uchungu sana Mkuu 😊
 
Kwa kifupi ndio tumeshaaga mashindano, Ethiopia ndio kibonde katika hili group tulitakiwa kuchukua point 6
 
Back
Top Bottom