FT: AFL Final 1st leg: Wydad AC 2 -1 Mamelody Sundowns | Stade Mohammed | tarehe 05.11.2023

FT: AFL Final 1st leg: Wydad AC 2 -1 Mamelody Sundowns | Stade Mohammed | tarehe 05.11.2023

Airtel mtandao unazingua na ndio naotumia kwenye internet
 
Wydad wanashambulia kwa kasi kwenye lango la Mamelody
 
7'

Wydad wanakosa utulivu hapa walikuwa wapo kwenye nafasi ya kuandika bao la kwanza
 
Mpira umesimama kwa muda baada ya mchezaji wa Mamelody kufanyiwa faulo
 
Refa anafanya drop ball kwa kuwapa advantage Wydad na mpira unaendelea
 
10

Wydad tena kwenye nafasi ya kuandika bao wanapoteza tena
 
11'

Wydad wanapata freekick karibu na 18
 
Mpira wa freekick unadhibitiwa katika himaya ya Mamelody na kuwaweka salama
 
Back
Top Bottom