FT: AFL Final 1st leg: Wydad AC 2 -1 Mamelody Sundowns | Stade Mohammed | tarehe 05.11.2023

FT: AFL Final 1st leg: Wydad AC 2 -1 Mamelody Sundowns | Stade Mohammed | tarehe 05.11.2023

Mpira umechanganya
 
Wydad wanaokoa shambulizi la kona
 
Mara ya pili hii kipa wa Mamelody anakaa chini na refa ananfuata kumuonya akimuoneshea ishara ya saa kuwa anapoteza muda
 
Mashabiki wa Wydad wanashangilia kinoma
 
Mpira umekuwa ukitawaliwa na nguvu nyingi

Mpaka saizi zimechezeka faulo zaidi ya 5 kwa timu zote mbili
 
Mpira umesimama tena baada ya wachezaji wawili wa Wydad na Mamelody kuanguka chini

Timu ya madaktari ipo uwanjani kuwaganga zaidi
 
Ball possession mpaka sasa ni 54% kwa Wydad na 46% kwa Mamelody
 
Wachezaji wa Mamelody walifanya makosa hapa kidogo waigharimu timu lakini imetokea bahati tu mchezaji wa Wydad alikuwa mbali kidogo
 
Back
Top Bottom