FT: AFL Final 1st leg: Wydad AC 2 -1 Mamelody Sundowns | Stade Mohammed | tarehe 05.11.2023

FT: AFL Final 1st leg: Wydad AC 2 -1 Mamelody Sundowns | Stade Mohammed | tarehe 05.11.2023

Tupia link ya ku stream
Kama upo Bongo Tumia VPN

Mechi inaendelea Mamelody wanajaribu kupanda juu
 
Mamelody wamenusurika kufungwa kwenye mpira wa kina baada ya mchezaji wa Wydad kugongwa na mpira kwenye goti kuelekea kambani
 
38'

Wydad wanapiga shuti la mbali lakini mlinda mlango anasimama imara
 
Counter attack kwa Mamelody lakini mpira unaendq nje ya lango
 
Back
Top Bottom