FT: AFL Final 1st leg: Wydad AC 2 -1 Mamelody Sundowns | Stade Mohammed | tarehe 05.11.2023

FT: AFL Final 1st leg: Wydad AC 2 -1 Mamelody Sundowns | Stade Mohammed | tarehe 05.11.2023

Mkuu Scars ulivyojikausha utafikiri hakuna kilichotokea Leo Kwa mkapa 😂😂😂
 
Scars

Sorry, Heading itakuwa inakuwa inarekebishwa on time kadri matokeo yakiwa yanabadilika
Na hakuna namna yeyote unaweza fanya kuwadhibiti hawa mashabiki wa Yanga wanao spoil uzi kwa kuleta mada ambazo hazihusiani na mechi inayoendelea?
 
Vipi Mamelodi atatoboa kweli japo Sare? Natamani ningecheki hii game sema nipo natetea ndoa bado changa
 
Mamelody wameliamdama goli la Wydad wanataka kusawazisha lakini wanakutana na upinzani mkali unaowafanya washindwe kutimiza matakwa yao
 
Kona inapigwa kuelekea Wydad

Kipa anauoangua kwa ngumi na kuondosha katika hatari
 
Na hakuna namna yeyote unaweza fanya kuwadhibiti hawa mashabiki wa Yanga wanao spoil uzi kwa kuleta mada ambazo hazihusiani na mechi inayoendelea?
Tumia Report Option kwenye Post husika ili MODS wazipitie hizo Posts
 
Mamelody wamerudi kwa speed kusaka bao la kusawazisha
 
Mamelody wanacheza foul na Wydad anaenda kunufaika kwa kupata free kick
 
Linapigwa shuti kali lakini mpira unaenda nje
 
Wydad karibu wote wako nyuma ya mpira
 
Free kick hii kwa Mamelody itakuwa ni dhahabu wakiitumia vizuri
 
Back
Top Bottom