FT: AFL Final 1st leg: Wydad AC 2 -1 Mamelody Sundowns | Stade Mohammed | tarehe 05.11.2023

FT: AFL Final 1st leg: Wydad AC 2 -1 Mamelody Sundowns | Stade Mohammed | tarehe 05.11.2023

Free kick imezaa kona

Kina imepigwa mchezaji wa Wydad anautoa nje kwa kichwa na kuwa kona pacha
 
Mamelody wamekosa bao la wazi sana hapa muda huu
 
Kila mtu haaminj imekuwaje kuwaje goli halijafungwa pale
 
Mamelodi wanadai penalty, mchezaji wa Wydad kashika mpira. VAR inatumika hapa.
 
Wachezaji wa Mamelody pamoja na kocha wao wanadai kuna mchezaji wa Wydad aliunawa mpira kwenye harakati za kugombania mpira
 
Wakati huo mchezaji mmoja wa Wydad yupo chini na machela ya madaktari tayari imekuja kumtoa nje ya uwanja kwa ajili ya matibabu zaidi
 
Refa anaenda kuangalia kwenye VAR kama kweli mchezaji wa Wydad alishika
 
Hii itakuwa ni penati ya wazi
 
Wajinga wanampiga refa na matochi yao asione vizuri kwenye VAR

Lakini refa kaamua kuwa ni penati na mchezaji aliyeucheza kwa mkono amepokea kadi ya njano
 
Ngoja tuone nafasi ya kipa
 
Goooooooooooal Mamelody wana level score board hapa katika hili dimba la Mohamed V
 
Kipa aliufuata mpira akaucheza lakini mpira ulikuwa na kasi ukampita na kuingia wavuni

Wydad 1-1 Mamelody
 
Back
Top Bottom