FT: AFL Final 1st leg: Wydad AC 2 -1 Mamelody Sundowns | Stade Mohammed | tarehe 05.11.2023

Kumbuka waydad ameenda kwa madiba mara kazaa.. ila huwa anapata matokeo anayoyataka.. na mamelodi huwa anatolewa na waydad.

Nusu fainali ya caf champions league mwaka huu waydad alienda kufuzu kwa madiba..
FT Wydad 2-1 Mamelody

Mamelody ni mzuri sana ugenini kuliko kwao. Leo wamepigwa ugenini. Bado ngoma ni ngumu sana.

Bonge ya game hatari sana.
 
Kumbuka waydad ameenda kwa madiba mara kazaa.. ila huwa anapata matokeo anayoyataka.. na mamelodi huwa anatolewa na waydad.

Nusu fainali ya caf champions league mwaka huu waydad alienda kufuzu kwa madiba..

Mameolodi aliruhusu goli 2 za waydad kwa madiba
That doesn't mean it's going to happen again.
 
Kumbuka waydad ameenda kwa madiba mara kazaa.. ila huwa anapata matokeo anayoyataka.. na mamelodi huwa anatolewa na waydad.

Nusu fainali ya caf champions league mwaka huu waydad alienda kufuzu kwa madiba..

Mameolodi aliruhusu goli 2 za waydad kwa madiba
Shit happens. Ila yeye mwenyewe anajua kazi atakayoenda kukutana nayo kule. Hamna mwarabu asiyemhanya Mamelodi esp akiwa nyumbani.
 
Lini umeahi ona ama kusikia mamelodi kamtoa waydad casablanca kwenye mashindano yoyote ?
 
Historia haimaanishi ndo milele amina mzee. Mbona watu wanasema Mamelodi ni timu ya kuishia robo na mbona yupo hapa fainali?

Fainali ya mashindano mapya ? HILI NI BONANZA LA MECHI 6. TIMU ZIMEALIKWA TU

SEMA LINI MAMELODI AMEWAI MTOA WYDAD? USIKIMBIE SWALI
 
Babu, kuna mahali nimesema amewahi kumtoa?

Kwahyo wewe kwsbb hajawahi kumtoa basi ndo milele hatokaa akamtoa?

Nilichokuambia mimi ni kwamba hamna kisichowezekana, na waarabu wenyewe wanajua kazi wanayo, na historia haijawahi kumaanisha forever mzee
 
Hii Wydad ya safari hii na hii SIMBA ya leo 💆...
MAMELODI KUPINDUA MATOKEO NI KAZI KUBWA,,, NI NDUGU MOJA NA SIMBA KWA KUPATA MAGOLI YA MUNGU SAIDIA KWA SASA TOKA SHALULILE AUGUE...
 
Back
Top Bottom