FT: AFL Final 1st leg: Wydad AC 2 -1 Mamelody Sundowns | Stade Mohammed | tarehe 05.11.2023

FT: AFL Final 1st leg: Wydad AC 2 -1 Mamelody Sundowns | Stade Mohammed | tarehe 05.11.2023

Mamelody wakijitahidi kupata goli la pili watajiweka nafasi nzuri ya kubeba ndoo
 
Sasa hapa tuone kama Wydad atapoteza muda
 
Imepigwa krosi, Allende kaokoa, ikamkuta mchezaji wa Wydad akaachia mkwaju mkubwa. Goli.
 
Mamelody wanapigwa bao la pili
 
Wydad wanafunga bao kali hapa
 
Bao bora la mashindano
 
Mamelod aisee yaani goli halijadumu hata kwa dakika 5 wameongezwa la pili.
 
Wydad amekosa nafasi adhimu mno. Mtambaa wa panya ule kwaaaaah
 
mamelody kafuzu kwa bahati tu, yeyote anaejua soka lazima aingie na wasi wasi kumpa credit mamelody hasa uki refer last gemu iliyopigwa mjini cairo
 
Sio rahisi. Ngoja hao ndugu zako waende kwa madiba. Utakuwa unasikia anapigwa staili za mbwa ila milio ndio ya paka

Kumbuka waydad ameenda kwa madiba mara kazaa.. ila huwa anapata matokeo anayoyataka.. na mamelodi huwa anatolewa na waydad.

Nusu fainali ya caf champions league mwaka huu waydad alienda kufuzu kwa madiba..

Mameolodi aliruhusu goli 2 za waydad kwa madiba
 
Back
Top Bottom