PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 392
- 798
FT: Simba 4 - 1 Al hilalFT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FC
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FT: Simba 4 - 1 Al hilalFT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FC
Mlifikiri Al Hilal ni Zalan. Ila wekeni ushabiki pembeni pale Aziza key, Joyce na Biring'anya mmepigwa na kitu kizito kubalini yaisheMakolo wana bahati kupata vibonde! Daah hongereni ingawa roho inauma!!
Siamini kama hii point imetoka kwako leo mtani. Hongera sana na wenye sikio na wasikieHongereni sana Simba kwa ushindi huu muhimu, sisi Yanga lazima tujifunze kucheza kwa passion, motivationally, energetic na bila kuchoka.
We've something to learn, Yes lazima tujifunze, kuwa na wachezaji wazuri ni moja na kupata matokeo ni jambo la pili.
Tujifunze.
Sisi hatukukutuma kushabikia UtoFT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FC
Mzee ilikuwa 3-0 au 4-1 aisee, kidogo nipate furaha izidi hadi nishikwe na shambulio la moyoNilijua tutashinda ila sio kwa ushindi huu. Niwe mkweli tu
Kawapokeeni next week2-1 Friends of Agosto tujuane 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aliyekwambia mm ni Simba au Yanga ni nani? Huwa naangalia mechi za Simba na Yanga za Kimataifa tuu..Kumbe Simba ni kubwaa,mnakubali mziki sasa[emoji23][emoji28][emoji125][emoji125][emoji125]
Kidogo upatieSimba anapigwa kimoja hapo badae