Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Hana winga wa maana wa kumsaidia hapo mbele, enzi zile za Miquisonne alikuwa na wakati mzuri sana.Hussein anakubali kuchekechwa hivi
Jamaa wamekuja na moto kipindi hiki cha pili
Nguvu Moja [emoji881]