FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

Mara nyingi timu zinazomilikiwa na jeshi hazina maajabu ktk mpira wa cafcl ni sawa tu Ruvu shooting na jkt Tanzania ndio Kama hyo agusto haziana maajabu siyo timu za kutisha Ni wazi Simba itawapiga vibaya

Hongera wanna lunyasi ,yanga imenikeraa mno na kunisababishia chuki kutawal moyoni

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa nn uteseke njooo simba utanenepa bila hata kula yaani full marahaaaa[emoji851]
 
Wanofuatilia maoni yangu...nimekuwa Wakili/Mtetezi wa Mwenda siku zote..naona sasa mtaanza kunielewa.
Huyo dogo atakuja kua mzuri sana badae.kila siku anazidi kuimarika.Azidi kupewa muda maana kapombe pamoja na majeruhi ila na umri nao unamkimbia.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mara nyingi timu zinazomilikiwa na jeshi hazina maajabu ktk mpira wa cafcl ni sawa tu Ruvu shooting na jkt Tanzania ndio Kama hyo agusto haziana maajabu siyo timu za kutisha Ni wazi Simba itawapiga vibaya

Hongera wanna lunyasi ,yanga imenikeraa mno na kunisababishia chuki kutawal moyoni

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Siyo kweli. Hawa wameshachuku ubingwa misimu miwili iliyopita
 
Back
Top Bottom