Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
FT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FCUtopolo wameshaingia kwenye hedhi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FCUtopolo wameshaingia kwenye hedhi!
Tuwape Simba Queens na maji ya kunywa.Hawa wakija Kwa Mkapa tunawapa Simba Queens...
FT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FCTuwape Simba Queens na maji ya kunywa.
Ile assist yake ya goli hujaiona auMgunda nakukubali sana ila kwa kumuingiza Bocco umeharibu mpira. Bora ungemuingiza Kyombo. Umeipa presha timu.
Kuna Mmoja anasema Leo Hawa watafanya tusilale vzr jamaniUtopolo wameshaingia kwenye hedhi!
Boko ameshachoka bana sijui kwann hapumzishwi na kuaga kwa heshima yan hii nchi bana mpira mbele haukai kabisaMgunda nakukubali sana ila kwa kumuingiza Bocco umeharibu mpira. Bora ungemuingiza Kyombo. Umeipa presha timu.
FT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FCTry Again na Babra wanaandika barua kwenda CAF kuomba kama vipi wacheze kabisa mechi ya Mkondo wa Pili huko huko Angola, tena wameaomba wacheze keshokutwa.
Wale Waliocheza Jana Wanasonya Tu Na Kutema MateTaifa zima lipo mabegani mwako Simba
Don't let us down buddy
Huku hatutaki makasiriko uto...kama vipi nenda kalale tafazali sana...FT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FC
FT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FCUto wamepoa sana 😀😀
Agosto hii sio ileFT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FC
FT. Alhali 0- Simba 3FT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FC