Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kubeti niliachaga na sababu uliyonifanya niache ni kutokana na timu kubwa kufungwa na timu ndogoUtaliwa hivyo hivyo tulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubeti niliachaga na sababu uliyonifanya niache ni kutokana na timu kubwa kufungwa na timu ndogoUtaliwa hivyo hivyo tulia
Kuna mtu ktk huu uzi nimeona ameandika channel 275Wakuu DSTV ni chanel gani wanaonesha?
Huyu ndio nifah sasa. Shabiki la kutupwa la YangaEl Shahat kuanza kikosi cha kwanza safari ya Simba imefikia mwisho, inasikitisha ila ndio ukweli.
nitarudiEl Shahat kuanza kikosi cha kwanza safari ya Simba imefikia mwisho, inasikitisha ila ndio ukweli.
Wanathiimbaa😂😂😂Thimba nguvu moyaaa🤣
Shindwa shetaniUzuri kila mtu anaenda kuona jinsi Simba inavyoenda kukandwa kisawasawa!
Tumshabikie nani?Ni Ujinga kumshabikia Mwarabu, ni upumbavu wa hali ya Juu sana
Labda watoboe ukuta🤣Wanathiimbaa😂😂😂
Simba ikitoboa ntawapongeza sana
Ushabiki umezid ndo maan watu wanaweka ushabik mpaka vitu vya kimataifaNi Ujinga kumshabikia Mwarabu, ni upumbavu wa hali ya Juu sana
Magoli yatakuwa mengi leoHii mvua kubwa hapa Dar es Muda huu inamaanisha nini?