ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
6
Al Ahly 0-0 Simba...
Al Ahly 0-0 Simba...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
299 wanaonyeshaWamekata mkuu.
Wadanganye makolo wenzio. Sheria ni zile zile,goli la ugenini liko pale pale. Wanavyokuamini sasa...!,wamekupa na like tayari za kutoshaNa hakuna goli la ugenini
Waarabu kumbe nao weziNi watu 15,000 tu , wamesema ni kwaajili ya usalama
Huko hapafai kwendaYap naona ni yake mambo ya Palestine
Kuna mtu nimeona ametuma link ya youtube wacha nikaangalizie tu hukoPole, njoo huku
Okay😀Kuna mtu nimeona ametuma link ya youtube wacha nikaangalizie tu huko
WachawiYanga wameshangilia sana John Bocco kuanza hii game
Lete hiyo link, TANESCO ni wanyamaKuna mtu nimeona ametuma link ya youtube wacha nikaangalizie tu huko
Dah ungesema mapema! Mimi Niko meeting ila akili yote Iko hukuYes, ila nimekosa company huwa nashindwa kuangalia mwenyewe, sijui kama mechi itaisha sijabdili channel😀
Hebu tulia kidogoMnaandika mtaishangaza dunia..[emoji1787]
Nyie ni wachumba tu mbele ya al ahly hakuna kitu mtafanya!,mtapakatwa mtakaa mlambwelambwe mbutuliwe mrudi mkiwa na Pete ya uchumba nyumbani!
Ule ushindi wa bahati?Jana ulisema nini na kimetokea nini..? Hakuna kitu leo mtajutua kwanini mnajishughulisha na mpira![emoji28]
We unafikiri ni wewe wakwanza kusema hivyo?Wadanganye makolo wenzio. Sheria ni zile zile,goli la ugenini liko pale pale. Wanavyokuamini sasa...!,wamekupa na like tayari za kutosha