DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Azam TV ni takataka naanza kuamini yani vimanyunyu kidogo tu signal imekata...baada ya hii mechi naitupilia mbali uchafu wao
Jamaa hata kutuliza mpira shida yani Robertinho Mungu anamuona jamaa wanapata goli muda simrefuJohn Boko amekuwa beki sasa.
kwan kuroga kunachagua sehem?Tanzania mlisema Simba tumeroga ndo maana wanapaisha haya huko kwao na kwenyew tumeroga mbona wanaangua nazi sana
Ndio samba hiyo ?...au pira Robertinho ?Simba wanacheza pira fulani hiviii ❤️❤️
Hahahaah 😅😅 mnakosaga la kusema bhasikwan kuroga kunachagua sehem?
Hapo ndipo wachezaji wanyumbulifu wanapokuwa muhimu. Hauwezi kukaa unazuia dkk 90Sema mechi ya leo usitegemee Simba kufanya mashambulizi sana