FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Simba wanabutua butua tu hakuna utulivu kabisa ila ndio mpira tuliouzoea.
 
Tanzania mlisema Simba tumeroga ndo maana wanapaisha haya huko kwao na kwenyew tumeroga mbona wanaangua nazi sana
 
Africa ni africa tu kmmk, link tunayochekia game daily leo haioneshi na ni official kabisa ya AFL
 
Back
Top Bottom