Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dakika ya 5 kipindi cha kwanza mkuu.Tanesco wamefanya yao hukuu dk ya ngapi tafadhali
Hapana, mimi Taifa Stars.Ha ha ha kumbe nawe ni mnyama?
Offside ya nioko?Offside VAR
Mkuu uko sawa sasa nimekuelewa.Acha wacheze hivyo hivyo. Utakapofunguka watakupiga. Falsafa ya ndani ya makocha wengi huwa ni kulinda kwanza, kushambulia itakapowezekana
VAR ya uto ni ya kichokoOffside VAR
Wapige la pili ndo iwe poaRefaaa Maliza mpiraaaa nikalale