FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Simba haichezi vizuri

Simba sio timu bora na ndio maana makundi imepita kwa kanuni tu.

Nataka niendelee kuzisikia hizi kelele zikiamia kwa Al Ahly
Daah mnajua kuloga nyie jamaa kwa mpira waliocheza wamisri Leo mlitakiwa mpigwe sio chini ya goli 3
 
Robertino hana mindset ya kushinda game kubwa ndo maana huwa ushindi wetu ni droo...

Unahitaji ushindi unamuingiza Onana kweli?? Na unaanza na boko
 
Hii mechi tungekua na quality player wawili tu kwenye nafasi alioanza Boko na kibu tungezungumza mengine leo. Simba tukafanye usajili wa maana tuache siasa.
 
Yes, hiyo siku itabidi Lomalisa tumpumzishe tuwaweke wazee wa kazi.
Lomalisa is too soft kupambana na Shahat na Hany, hapo bado Tau.
Balaa
Nyie timu kubwa acheni hizi hesabu weka kile kikosi mlichocheza na ihefu kule mpungani
Daima mbele nyuma MWIKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…