FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Hali ya Hewa Dar es Salaam.

Mvua nyingi sana.

Hatuoni
 
Leo ndio mwisho wa ngebe za Simba kujisifia kucheza ligi za madume ya mamba kama Al Ahly na Wydad!

Yaani eti mi nifungue maduka Buza kwa Mpalanger halafu eti nije nijilinganishe utajiri na Bakhressa sijui Rostam wapi na wapi!?

Kiwango Cha Mchezaji mmoja wa Al Ahly ni sawa ukusanye Chama, Saidoo, Baleke, Mzamiru, Kanoute na Ngoma! Tuliona kwa Mkapa Al Ahly walicheza kwa akili tu wakitengeneza nafasi nyingi za kufunga uchawi ukaepusha aibu mbele ya Rais wa Fifa na Wenger huku wenzao kina Kibu wakitumia maguvu na kurukaruka tu bila akili Wala mipango ya kufunga!

Mshahara wa mchezaji mmoja tu wa Al Ahly sawasawa ujumlishe mishahara kumi ya wachezaji wa Simba!

Baada ya Simba kukandwa 5G huko Misri Leo, kifuatacho usiku wa Leo itakuwa ni mgogoro mkubwa utakaozuka Msimbazi na mashabiki kudai kuwa wamegundua Simba ni msindikizaji tu ligi zote na wapo wataolianzisha kuwa kocha hafai na huku mazuzu mbumbumbu wengine wakimtetea!

Ila inajulikana tangu mwanzo mechi za Simba ni mbili tu super cup na Leo wataumaliza mwendo na kubeba kombe la kufa kiume!

Hatutaki lawama mshangao wala makelele ya kuonewa huko Misri wakati msuli wenyewe kiduchu!

Kwenye msafara wa Mamba kenge pia huwa wamo! Leo itathibitika maana ya msemo huu na Simba itarudi kwenye mavumbi yake ya siku zote, hakuna kombe lolote kwa msimu wa tatu, ikumbukwe ngao ya jamii ni mbao tu sio kombe la ligi!

Simba ni underdog yenye makelele makubwa!

Naitakia Al Ahly ushindi wa 5G dhidi ya Simba ili mji utulie kimyaaaa!

Aziz Kiiiiiiiii!! Gooooooool! Goli la tatu! Ni hat trick ya kihistoria, hat trick ya derby ya Dar-es-salaam!
We mavi tu
 
Back
Top Bottom