DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Dah ila kipa bhna anajituma saana karuka pakubwa sana inabidi wamuongeze Mshahara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha stori zako kama wale wanao tangaza mpira wakati hali halisi unaifahamuTuna shot on target 2 wakati Al Ahly hana hata moja
uzembe wa al ahly na umakini mdg ila kulikuwa na goli zaidi ya tatuWale waliosema 7-0 wanaionaje mechi?
Sheria ya away goli ipoWanadanganya hakuna away goal
Yupo golini kwangu ndio ila hana on targethahahaha stori zako kama wale wanao tangaza mpira wakati hali halisi unaifahamu
unakimbizwa balaa jamaa yuko golini kwako muda wote
Sio uzembe ndio matatizo yao hayouzembe wa al ahly na umakini mdg ila kulikuwa na goli zaidi ya tatu
HaipoSheria ya away goli ipo
Dk 40Dk zimepita ngapi