Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Ngumu vp wakati anakuwa ameshawatoa. Ukiona swali kwenye mtihani umelipatia majibu ujue sio gumuKama tukitolewa basi natabiri hii ndio itakuwa mechi ngumu kwa Al Ahly
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngumu vp wakati anakuwa ameshawatoa. Ukiona swali kwenye mtihani umelipatia majibu ujue sio gumuKama tukitolewa basi natabiri hii ndio itakuwa mechi ngumu kwa Al Ahly
Uzembe au ni Simba inawafanya waonekane wazembe?uzembe wa al ahly na umakini mdg ila kulikuwa na goli zaidi ya tatu
sasa una shika refa anapeta unategemea niniYupo golini kwangu ndio ila hana on target
AmenMungu ibariki Tanzania Mungu ibariki simba sport club. #Simbanguvumoja[emoji123]
anza hesabu on target ya kwanza ya pili n goliUzembe au ni Simba inawafanya waonekane wazembe?
Unaongea uku umeshika mbupuKama tukitolewa basi natabiri hii ndio itakuwa mechi ngumu kwa Al Ahly
Kipa anasaidia sana ila mabeki ndo wakudaKipa hamna
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii Al Ahly ikikutana na Yanga inaweza chapwa hata 3.
kama ndo matatizo yao watajuta mbele ya mwanachiSio uzembe ndio matatizo yao hayo
Yupo vzur mbonaKipa hamna
Futa vumbi hiyo TV yako hakuna mtu aliyeshika ni uchafu wa TV yako unakufanya ushindwe kuona vizurisasa una shika refa anapeta unategemea nini