Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Umemuona El Shahat? Nani tutamkabidhi kazi ya kumlinda? Yao?Kwa sasa tucheke tu mkuu yajayo yatajijua [emoji23]
Tukimbana yule tumemaliza kazi.
Jamaa ana mapafu ya mbwa, dakika 90 anacheza kama ndio mpira unaanza!