Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Basi Utopolo ni mwakafirst roundMatch Played 4
Win 0
Draw 4
Position: Mwakarobo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi Utopolo ni mwakafirst roundMatch Played 4
Win 0
Draw 4
Position: Mwakarobo
😂😂😂 Teh teh.Kiko wapiiiiiii wameufyta mkia 😆
Mwiko nyuma mbona kama wewe umepanicMwakarobo punguza kwanza hasira
Wanastahili pongezi.Wanajeshi wangu wamepambana vyakutosha
Wanasimba hatuna presha wala maumivu kbs, wanaoumia ss ni hao walodhani tutafungwa 5.Wana Thiiimbaaaa tunavimbaaaa
Tusilazimishane masikitiko na masononeko
Unaanza na MashujaaKituo kinachofata ni Vyura fc na mjuba...
OKW BOBAN SUNZU hongera!Haijakamilika Mpaka ikamilike.
Leo 24.10.2023 Muda wa saa 11 jioni kwa saa za Africa Mashariki.
Itapigwa Match ya marudiano kati ya hawa mabingwa wa Africa.
Ni Al Ahly ya Misri dhidi ya Simba ya Tanzania.
Ikumbukwe kwenye 1st Leg Iliyopigwa Dar es Salaam 20.10.2023. Timu hizi zilitoka sare ya 2-2.
Tukutane Baadae.
Simba, Nguvu Moja.
Kila la heri Mnyama.
#Nguvumoja
Game On...
Dakika ya 23'
Al Ahly 0 - 0 Simba Sc
(On Aggregate 2-2)
Bado Timu zote zinashambuliana.
Boko anapoteza nafasi.
Al Ahly wanaingia kwenye box la Simba mara kwa mara...
Dakika ya 24'
Ball Possession
Al Ahly 73% Simba 27%
Al Ahly wanafunga goli. Inakuwa offside
*Game On...
Dakika ya 29'
Al Ahly 0 - 0 Simba Sc
(On Aggregate 2-2)
Kipa wa Al Ahly anapatiwa matibabu
*Game On...
Dakika ya 33'
Al Ahly 0 - 0 Simba Sc
(On Aggregate 2-2)
Dakika ya 37'
Al Ahly 0 - 0 Simba Sc
(On Aggregate 2-2)
Kipa Ally Anapatiwa matibabu baada ya kuumia, aliruka akarudi chini vibaya.
Dakika ya 41'
Al Ahly TEAM STATS Simba 8 Shots 2 0 Shots on target 1 74% Possession 26% 252 Passes 93
Mpira unaendelea
Dakika ya 45+6
Bado hakuna timu iliyopata goli
Kipindi Cha Kwanza Kimemalizika.
Al Ahly 0 - 0 Simba..
Simba wanapata goli,
Refa anaisogelea VAR
Dakika ya 68'
Kanoute anaipatia Simba goli la Kuongoza.
Al Ahly 0 - 1 Simba.
On Aggregate 2-3
Dakika ya 74'
Mpira unaendelea
Dakika ya 76'
Al Ahly wanapata goli la kusawazisha
Al Ahly 1- 1 Simba
(On Aggregate 3 - 3)
Dakika ya 79'
Simba wanafanya mabadiliko.
Onana na Miquisonne. Wanaingia kuchukua nafasi za Kibu na Saido
Dakika 85'
Mpira unaendelea
Al Ahly 1 - 1 Simba
Simba wanapata kona mbili mfululizo
Dakika 87'
Al Ahly wanafanya mabadiliko hapa
Dakika ya 88'
Al Ahly wanapata kona hapa
Dakika 89'
Kapombe Out
Phiri Inn
Dakika 90'
Zimeongezwa Dakika 6'
Ahly 1 - 1 Simba
On Aggregate 3-3
Dakika ya 90 + 3
Game On
Ahly 1 - 1 Simba
On Aggregate 3-3
Dakika 90 + 4.
Al Ahly wanapata kona
Dakika 90 +5
Inakuwa piga nikupige golini kwa Al Ahly.
Inakuwa offside
Full Time.
Dakika 90 zimekamilika.
Al Ahly 1-1 Simba
On Aggregate 3 - 3
Al Ahly amepita kwa Goli la ugenini.
All the Way to Sem Final.
Hongera Mnyama umepigana kiume.
And am in.....Tunawatakia kipigo chema Mwiko nyuma fc hapo mtakapokutana na Percy wenu mliekua mnamshadadia...kwetu katepeta...
Am out
Wana hasira hao. Wengine wanaporomosha mpaka matusi...wakati mpira ni utani na kucheka. Sad!Kiko wapiiiiiii wameufyta mkia 😆
Huwezi kuchukua points kwa Simba Sc ya Robertinho, wewe ombea draw tu.5 November siyo mbali
Wnaa hasira mnooo..historia tumeshaandika kuvimbiana misuli na mbabe wa Africa...Wanasimba hatuna presha wala maumivu kbs, wanaoumia ss ni hao walodhani tutafungwa 5.