FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

Aahaaa

Si walikuwa wanajifisia kuwa Al Ahyl ni mkubwa mwenzao

Acha wanyooshwe
Na anawanyoosha kweri kweri 😂😂😂😂
Mafirauni hao ohhhh wana wa Israel wenyewe wanaujua mziki wake
 
Mnajidai mnafunguka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kufunguka ni sahihi. Tubaki nyuma tunalinda nini? Labda yakishaingia goli tatu ndo urudi nyuma kuzuia aibu ya goli nyingi.
 
Kuna haja ya kusuka mabeki wa pembeni ( Zimbwe na Kapome wote wawe chaguo la pili).


Ni ukweli wa 100% kuwa robo fainali zote za mashindano ya CAFCLCC, ni uzembe wa fullbacks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…