FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

Beki ya Yanga bado itabaki kuwa beki bora sana. Wana skills za kutosha za kuzuia hatari. Halafu cha kushangaza, forward hairudi ikipoteza mpira.
 
Hii inonga nayo kichwa cha mwendawazimu tu, fungasha na kapombe wakatafite maisha kwingine
 
Jingine ni Kuwa tumekosa Penalty za wazi tunapiga na kumfata Kipa na zingine tumepaisha
IMG_0256.jpeg
 
Kauli za Kesho.![emoji2][emoji2]

[emoji117] Mangungu Hatufai.
[emoji117] Bora Manula Angekua Mzima.
[emoji117] Chama Bora Atupishe.
[emoji117] Saido Asinge Anza Kazeka.
[emoji117] Kocha Kaja Katikati ya Msimu.
[emoji117] Serikali ilitukwamisha Toka Mwanzo.
[emoji117] Sisi Robo Ndio Kwetu Nusu Bado
[emoji117]Tumekufa kiume
[emoji117]Shabalala na Kapombe wapumzishwe sasa

Ongeza Lingine…![emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kuwa uto katolewa, walaaa hata hakuna shidaaa.
 
Back
Top Bottom