FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

Moja kati ya beki ambae anatakiwa kutafutiwa mbadala, basi ni Shomari Kapombe, huyu jamaa kaisha vibaya mno.

Lakini kutokana na tabia ya viongozi wetu kucheka na nyani, bado atakuwa na uhakika wa kuwa first eleven kwa misimu mitano mbele.
 
Mmeanza visingizio 🤣🤣🤣🤣
 
Kauli za Kesho.![emoji2][emoji2]

[emoji117] Mangungu Hatufai.
[emoji117] Bora Manula Angekua Mzima.
[emoji117] Chama Bora Atupishe.
[emoji117] Saido Asinge Anza Kazeeka.
[emoji117] Kocha Kaja Katikati ya Msimu.
[emoji117] Serikali ilitukwamisha Toka Mwanzo.
[emoji117] Sisi Robo Ndio Kwetu Nusu Bado
[emoji117]Tumekufa kiume
[emoji117]Shabalala na Kapombe wapumzishwe sasa

Ongeza Lingine…![emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom