Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila leo, tunacho aiseee!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu sijui kwann leo sina mzuka na hii game, yaan wafunge ndani tutokee mapemaa.
KabisaTusajili wachezaji wa maana, kocha tunae
Acha uoga dk za Simba kuanzia dk 80,wanaweza kuweka hata tatu.2:0
Mmmh hatuwezi kufunga Mbili hata Tufanyaje 🤣🤣🤣
JAMANI USIKU MWEMA
Mmeanza visingizio 🤣🤣🤣🤣Moja kati ya beki ambae anatakiwa kutafutiwa mbadala, basi ni Shomari Kapombe, huyu jamaa kaisha vibaya mno.
Lakini kutokana na tabia ya viongozi wetu kucheka na nyani, bado atakuwa na uhakika wa kuwa first eleven kwa misimu mitano mbele.
Tusajili wachezaji wa maana, kocha tunae
Mmekua wazenji chenga twawala ila goli twapigwaNileteeni takwimu za timu yeyote iliyocheza na Al Ahly pale Cairo ambayo inaonesha mpaka dakika 45 za mwanzo zinaisha Al Ahly hajapiga shuti lolote lililolenga lango.
Just nionesheeni tu nami nione.View attachment 2955021
🤣🤣🤣🤣 leo kucheka kwa zamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yupo kama mcheza discoKibu ni kichaaa kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
10%Miaka ya nyuma tulipigwa sana kwenye sajili
Hii ndio unaitwa nikanyage bahati mbaya nikulipue makusudi..
Sana, Kapombe ajitafakari.Hili Goli Tumefungwa Kizembeee sana