FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

Asiguse mtu comment yangu
FB_IMG_1712016580872.jpg
 
Kuruhus goli la ugenini ilikuwa big mistake. Shenzi kabisa Inonga
Tumekuwa tukitolewa huku tumeshinda au kudroo nyumbani. Huwa tunaenda tukiwa na mawazo ya kujilinda. Hii ni mara ya kwanza kukutana na Al hly tukiwaza kupata magoli na kushinda.
 
Robo sasa basi tunaitaka nusu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huu uzi umepoa kuliko hata maji ya mtungi! Mashabiki wa simba tupeane moyo bhana! Ndiyo kusema tumekata tamaa kiasi hiki!!

Penyewe jana Mayele alienda kuongeza hamasa kwenye kambi ya timu yetu!! Simba nguvu moja, tunapindua leo meza kibabe!
 
Ahahahahahaaaa..!!! Mayeleeee..!!
 
Match Day.

Al Ahly Vs Simba

⏱️ Time 23:00hours (EAT)
🏆 CAF Champion League 2nd leg
🏟️Cairo International Stadium
Huu muda simba akicheza na Mwarabu huwa anapigwa goli kuanzia 5 (Khamsa)!

Sijui tumlilie nani ili atuokoe na hii dhahama!
 
Leo kwa mara ya kwanza nitabet. Odds kwa simba na yanga kusonga nusu kubwa sana, ni 8.7. Kwa simba naweka mzigo wa sh 100,000 kwa yanga naweka naweka 1000 kizalendo tu nisije tupa pesa yabgu
 
Back
Top Bottom