FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani udugu ukikubali umetoka, shida nn?
Mbona utazoea tyuuh
🀣🀣🀣🀣 ww huoni shida km tumedhulumiwa??
 
Kawaida mbonaa..sasa nyie mlishindwa nini kufunga goli lingine mpk muanze kulilia goli lililokataliwa..
Mwaka robo always mwisho wenu ndio hapo!!
Miaka na miaka hakuna hata kufikia malengo, si muwe mnaandika barua kuwa mmechoka 3-0 🀣🀣🀣🀣
Halafu mnalilia mpewe ndege, jinga kabisa πŸ€Έβ€β™€οΈ
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa wenzetu hawataki kukubali.
Muandike barua kuwa mmechoka mwaka robo 🀣🀣🀣
Sisi tumenyimwa haki yetu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmedhulumiwa nn? Hebu sema hapa.
🀣🀣🀣🀣 ww hujaona??
Udugu huko X jana nimecheka maccm yanavyopigwa spana..!!!
 
Kocha Mkuu wa Simba ndugu Benchikha akihojiwa Mara baada ya match yao zidi ya Ahly ambapo walifungwa 2-0 amesema kuwa kama si golikipa wa Ahly, Shabeir timu yao ingeshinda na kufuzu nusu fainali.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ww hujaona??
Udugu huko X jana nimecheka maccm yanavyopigwa spana..!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yanapigwa spana kuhusu nn uduguu?
 
Akubali tu matokeo pamoja na ukocha wake hajui kazi ya kipa😳
 
Kocha Mkuu wa Simba ndugu Benchikha akihojiwa Mara baada ya match yao zidi ya Ahly ambapo walifungwa 2-0 amesema kuwa kama si golikipa wa Ahly,Shabeir timu yao ingeshinda na kufuzu nusu fainali.
Tuchukulie benchika aliwakodisha kipa al ahly si alilipwa ela au ?πŸ€” alitaka aachie wafunge?
 
Mmeshamaliza kujadili rufaa yenu dhidi ya maamuzi ya refa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…