FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

Kawaida mbonaa..sasa nyie mlishindwa nini kufunga goli lingine mpk muanze kulilia goli lililokataliwa..
Mwaka robo always mwisho wenu ndio hapo!!
Miaka na miaka hakuna hata kufikia malengo, si muwe mnaandika barua kuwa mmechoka 3-0 🤣🤣🤣🤣
Halafu mnalilia mpewe ndege, jinga kabisa 🤸‍♀️
 
Kocha Mkuu wa Simba ndugu Benchikha akihojiwa Mara baada ya match yao zidi ya Ahly ambapo walifungwa 2-0 amesema kuwa kama si golikipa wa Ahly, Shabeir timu yao ingeshinda na kufuzu nusu fainali.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ww hujaona??
Udugu huko X jana nimecheka maccm yanavyopigwa spana..!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yanapigwa spana kuhusu nn uduguu?
 
Kocha Mkuu wa Simba ndugu Benchikha akihojiwa Mara baada ya match yao zidi ya Ahly ambapo walifungwa 2-0 amesema kuwa kama si golikipa wa Ahly,Shabeir timu yao ingeshinda na kufuzu nusu fainali.
Tuchukulie benchika aliwakodisha kipa al ahly si alilipwa ela au ?🤔 alitaka aachie wafunge?
 
Mmeshamaliza kujadili rufaa yenu dhidi ya maamuzi ya refa?
 
Back
Top Bottom