FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

Marefa wa leo kazi ipo, ila yule aliyetufanyia figisu nimetamani angechezesha kombe la mbuzi, mwisho wa mchezo angepigwa ndoa ya mkeka na wahuni [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu em muache refa, ni baba wa watu ujue?
 
IMG_0637.jpeg
 
Huyu Ayoub Lakred ni kipa mzuri sana, Manula ndio kapoteza namba hivyo.

Moja kati ya eneo ambalo Simba Sc ana utajiri wa vipaji ni eneo la golini, kuanzia kipa wa kwanza hadi wa nne hakuna kiazi.
Aliye msqjili huyu atuletee na wengine
 
Yanga mechi yao ya leo walimkosa mtu kama Kibu
 
Hizi skills Kibu Denis kazitoa wapi? Miaka miwili mbele kama ataendelea kuaminiwa, atakuwa player mmoja hatari sana.
Tatizo akili na utulivu hana. Sasa minguvu ya nn c buree tyuuh
 
Hawa Al ahly walifungaje Benjamini Mkapa mbona wepesi sana
 
Nileteeni takwimu za timu yeyote iliyocheza na Al Ahly pale Cairo ambayo inaonesha mpaka dakika 45 za mwanzo zinaisha Al Ahly hajapiga shuti lolote lililolenga lango.

Just nionesheeni tu nami nione.
Screenshot_20240405-235142.png
 
Back
Top Bottom