FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Refa huyu wa sahivi nampa hongera.
Kufungwa mapema mapema, wee kuwezaaa?
🤣🤣🤣🤣 historia ingejirudia ya last week, mapema mngepewa cha mkwezi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu hujazoea tyuuh?
Mwenzio mwaka jana, tulitolewa na wydad kwa penalt.

Afu chama alikosa, nilitukana matusi km mwendawazimu mpya pale wodi ya milembe.
Leo na wao wameonja uchungu yn, jins walivoumia leo watakua wamejifunza kitu aisee.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] utashangaa na ww ukifika unaunga kupooza machungu, tukija kushtuka kesho mchana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaa uduguu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] historia ingejirudia ya last week, mapema mngepewa cha mkwezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan aibu udugu, Simba sijui ikoje hata.
 
Back
Top Bottom