cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kimewakaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweeeehh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimewakaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweeeehh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi najadili mpira, wewe unajadili matokeo hivyo hatuwezi kuelewana.Mmeanza visingizio 🤣🤣🤣🤣
Yanga Simba ni kama pipa na. MfunikoWote tu.eshakuwa mwakarobo Mkuu sasa sijui unamtaja mwakarobo yupi wa Njano au Mwekundu maana wote ni wa Kariakoo
ndio hivyoMpaka miguu imatetemeka aisee
😂😂😂😂😂 ukiwa na demu akipiga kelele saaanaaaa ukiskia kanyamaza ujue tayar kashapiga goli mojakuna kibanda umiza kiko karibu na nyumbani., ghafla sisikii chochote, kwani kuna nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee em tuache, turudi NBC na ASFC.Si mlisema mnaitaka Nusu Fainali?
Ni huzunii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo tar ya kukumbukwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
itoe yanga kwenye upumbavu huoYanga Simba ni kama pipa na. Mfuniko
Wanataka kujitofautisha na sisi kuwa wao wametolewa wakiwa wamepambana.Wamekufa kwa kuteseka mno vyura.
🤣🤣🤣🤣🤣Mimi najadili mpira, wewe unajadili matokeo hivyo hatuwezi kuelewana.
Mmemaliza kuwalalamikia Motsepe na Refa?Mbunbumbu FC
Oh taifa linawakilishwa na thimba
Haya sasa mbumbumbu twende kazi mwakarobo[emoji1][emoji23][emoji23]
BhalaaKMMK tushakufa
Simba kweli anaenda kugeuka pussy cat 🤣🤣🤣🤣Ni huzunii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hao jamaa wanavyokuja kama nyuki tutalipuka mkuu🤣Hapa benchika kwa hizi dakika ajilipue tu,
Tatizo wachezaji wa ndani sasa.Huyu Ayoub Lakred ni kipa mzuri sana, Manula ndio kapoteza namba hivyo.
Moja kati ya eneo ambalo Simba Sc ana utajiri wa vipaji ni eneo la golini, kuanzia kipa wa kwanza hadi wa nne hakuna kiazi.