FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

Wamekufa kwa kuteseka mno vyura.
Wanataka kujitofautisha na sisi kuwa wao wametolewa wakiwa wamepambana.

Lakini imesaidia nini zaidi ya kusumbua mahakama tu?

Sisi tulikuwa na situation kama hiyo msimu uliopita dhidi ya Wydad lakini wao wakatudhihaki kuwa "wafa kiume"

Sasa leo wanashindwa watumie maneno gani sahihi kama mbadala ili kujifariji na isilete tafsiri ambayo sisi tutaitumia kuwarudishia dhihaka zao.
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Huyu Ayoub Lakred ni kipa mzuri sana, Manula ndio kapoteza namba hivyo.

Moja kati ya eneo ambalo Simba Sc ana utajiri wa vipaji ni eneo la golini, kuanzia kipa wa kwanza hadi wa nne hakuna kiazi.
Tatizo wachezaji wa ndani sasa.
 
Back
Top Bottom