FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kibu kapewa [emoji169][emoji388].
 
Huu si ni upuuuzi kabisa, aseeeh chamaaa.
Woiiiiih
 
#YallaYaAhly


Dakika ya 67


AL AHLY SC 1 SIMBA SC 0

aggregate 2_0
 
Chama goooalll [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyambafu leo hamtoboi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aziz anafunga kwa ugumu, eti laini anakosaaa, uchuro huu.
 
Nyie hammiliki na bado mnakandwa vilevile
wapi tumekandwa kote tumeshikilia bomba hadi refa kaingilia kati kuwaokoa watoto wa motsepe

nenda page ya caf ista uone watu wanavyo lalamika huko
 
Back
Top Bottom