Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hajaruhusu bao kwasababu ya wwanajeshi wake ni waoga.ajaruhusu bao michezo miwili kipa wako kaokota 2 hadi sasa
Wachezaji wake wote wapo eneo lake yani ni sawa na kusema kwamba golini hakuwa peke yake.
Mlikuwa na makipa wengi golini ila mmoja tu ndio aliyevalia gloves